Mkutano ambao leo umedumu kwa takriban masaa
matano ukiendelea
Rais Kikwete akijadiliana na Profesa Mwesiga
Baregu (kulia), Freeman Mbowe na Mh Bernard Membe wakati wa mapumziko
mafupi
Wajumbe upande wa Serikali
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa Mh Bernard Membe (kati) akiwa na maafisa wa serikali wakipitia
taarifa hiyo
Ujumbe wa Uongozi wa CHADEMA ukipitia kwa
makini taarifa ya pamoja kati ya serikali na chama hicho kabla ya
kukisambaza kwenye vyombo vya habari ikiwa ni hitimisho la mkutano wao
baada ya mazungumzo ya siku mbili Ikulu jijini Dar es salaam.
Viongozi wa CHADEMA wakiwasili Ikulu
Gari la Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman
Mbowe na lingine lililobeba wajumbe wa uongozi wa CHADEMA yakiondoka
IKULU baada ya mkutano na Rais Jakaya Kikwete leo.Picha Zote na IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)