Makamu Waziri wa Biashara wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa Jiang Yaoping(kulia) akiteta jambo na Waziri
wa Fedha Mustafa Mkulo (kushoto ) leo jijini Dar es salaam mara baada
ya kutia saini hati ya mikataba mitatu(3 )ya mikopo isiyo na riba yenye
thamani ya Dola za Kimarekani milioni 89.8 na barua ya msaada wa ujenzi
wa Kituo cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere kwa thamani ya Dola milioni
5.6
Waziri
wa Fedha wa Tanzania Mustafa Mkulo(kushoto) na Makamu Waziri wa
Biashara wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa Jiang
Yaoping(kulia) akibadilishana hati ya mikataba mitatu(3 )ya mikopo isiyo
na riba yenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 89.8 na barua ya
msaada wa ujenzi wa Kituo cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere kwa thamani
ya Dola milioni 5.6 jana jijini Dar es salaam .
Makamu
Waziri wa Biashara wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa
Jiang Yaoping(kulia) akitoa hotuba leo jijini Dar es salaam mara baada
ya kutia saini na Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo (kushoto) hati ya
mikataba mitatu(3 )ya mikopo isiyo na riba yenye thamani ya Dola za
Kimarekani milioni 89.8 na barua ya msaada wa ujenzi wa Kituo cha
Mikutano cha Mwalimu Nyerere kwa thamani ya Dola milioni 5.6 jana jijini
Dar es salaam .
Makamu
Waziri wa Biashara wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa
Jiang Yaoping(kulia) akitoa zawadi kwa Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo
(kushoto )leo jijini Dar es salaam mara baada ya kutia saini hati ya
mikataba mitatu(3 )ya mikopo isiyo na riba yenye thamani ya Dola za
Kimarekani milioni 89.8 na barua ya msaada wa ujenzi wa Kituo cha
Mikutano cha Mwalimu Nyerere kwa thamani ya Dola milioni 5.6 jana jijini
Dar es salaam
Ujumbe
wa Wafanyabiashara kutoka Serikali ya Watu wa China wakiwa katika
mkutano jana jijini Dar es salaam na wenzao wa Jijini Dar es
salaam.Picha Zote na Vicent Tiganya-Maelezo, Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)