Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Arejea Zanzibar - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Arejea Zanzibar


Rais wa zanzibar Dk Ali Mohamed shein akisalimiana na makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif hamadi alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar,akitokea ziarani Dubai .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na watoto baada ya kumvalisha shada la Mauwa jkana akitokea safarini katika nchi za UAE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ua kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa was Abeid Amani Karume Air Port,akitokea nchi za UAE,katika ziara za kuimarisha uhusiano wa kihistoria na nchi hizo.Picha na Othman Maulid.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages