Rais Dk. Kikwete 'Uso kwa Uso' na Joseph Payne Mzungu wa Bongo Star Search - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Dk. Kikwete 'Uso kwa Uso' na Joseph Payne Mzungu wa Bongo Star Search

Rais Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana  na Joseph Payne  kutoka Ofisi ya Ubalozi wa Uingereza nchini  hivi karibuni  walipokutana katika Ofisi za Taasisi ya WAMA jijini Dar es Salaam  ambapo kulifanyika hafla ya kukabidhi vitabu kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya WAMA- NAKAYAMA iliyopo Nyamisati Mkoa wa Pwani pamoja na  shule ya Sekondari ya wasichana Kilalakala ya mkoani Morogoro. Katika hafla hiyo Mke wa  Prince Charles, Camilla alikabidhi kitabu Kwa Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete  ambacho kinatimiza idadi ya vitabu milioni moja  vilivyotolewa  msaada kutoka kwa Taasisi ya British Charity READ International. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages