Polisi watumia Risasi za moto kuwatuliza wananchi Mbeya lakini washindwa kutuliza Vurugu.. Sasa zimefika uyole wananchi wanashusha Bendera za CCM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Polisi watumia Risasi za moto kuwatuliza wananchi Mbeya lakini washindwa kutuliza Vurugu.. Sasa zimefika uyole wananchi wanashusha Bendera za CCM

 majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo hii akiwa kapigwa kichwani. Hadi sasa kuna majeruhi wanne wa risasi, wawili kichwani, mmoja kwenye paja na mwingine mkononi
Mmoja wa majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo, Abel Mwalukali akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mbeya baada ya kupigwa risasi kwenye mkono.
Hali Badi ni Mbaya sana Kumefuka 
Moja ya gari lililobinuliwa na kuwekwa katikati ya barabara ya mbeya tunduma
Mmachinga akiwarushia jiwe kwa kutumia manati yaani ni hatari tupu
Askari wa kutuliza fujo naye akiwarushia bomu la machozi wamachinga wanaoandamana
Moja ya gari lililopasuliwa kioo na baruti
Wamachinga wakishangilia baada ya kuwazidi polisi nguvu.Picha Zote Na Mbeya Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages