Polisi Wa Kutuliza Ghasia FFU Walivyotawanya Maandamano Ya Wanafunzi Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Jana - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Polisi Wa Kutuliza Ghasia FFU Walivyotawanya Maandamano Ya Wanafunzi Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Jana

Njia ya Kuingilia Chuoni UDSM
Gari ya polisi maarufu kama washawasha ilikuwepo karibu kudhibiti maandamano hayo.
Hapa ni Academic bridge.wanafunzi wakijadili baada ya kuvurugwa maandamano yao.hata hivyo wameapa kujipanga na kuendelea baadaye.wanaandamana kuhusu kudai mikopo ya mwaka wa kwanza ambao hadi sasa hawajapewa pesa ya chakula wala malazi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages