Naibu Katibu Mkuu Wizara Kilimo Chakula na Ushirika Afungua Mkutano wa Unajadili Uboreshaji wa Mazao ya Uvuvi na Mpunga kwa Ukanda wa Afrika Mashariki - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Naibu Katibu Mkuu Wizara Kilimo Chakula na Ushirika Afungua Mkutano wa Unajadili Uboreshaji wa Mazao ya Uvuvi na Mpunga kwa Ukanda wa Afrika Mashariki


Naibu Katibu Mkuu Wizara Kilimo Chakula na Ushirika Mhandisi Mbogo Futakamba akifungua mkutano wa unajadili uboreshaji wa mazao ya uvuvi na mpunga kwa ukanda wa Afrika Mashariki (leo) jijini Dar es salaam.Mkutano huo wa siku tano unalenga kuwawawezesha wakulima kuzalisha mpunga kwa wingi huko wakiendeleza ufugaji wa samaki katika maeneo yao ya kilimo ili kupunguza umaskini.Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO- Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages