MAFURIKO YALIKUMBA JIJI LA MWANZA, UWANJA WA NDEGE WAFUNGWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAFURIKO YALIKUMBA JIJI LA MWANZA, UWANJA WA NDEGE WAFUNGWA


MVUA kubwa zilizonyesha katika Jiji la Mwanza usiku wa kuamkia leo zimesababisha mafuriko makubwa na kuharibu mali za watu na kusababisha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwaza kufungwa.

Mitaa mbalimbali ya jiji hilo imefurika maji na baadhi ya wakazi wa jiji hilo kwa sasa wanahaha kuhamisha familia zao pamoja na mali ndani ya nyumba kutokana na maji kufurika.Habari Kwa Hisani ya GPL

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages