MVUA KUBWA ILIYONYESHA KWA MASAA MANNE YASABABISHA AIR PORT MWANZA KUFUNGWA KWA MUDA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MVUA KUBWA ILIYONYESHA KWA MASAA MANNE YASABABISHA AIR PORT MWANZA KUFUNGWA KWA MUDA

Mvua kubwa iliyonyesha leo jijini Mwanza kwa takribani masaa manne imeathiri kwa kiasi kikubwa shughuli za usafiri na usafirishaji kwa njia ya anga.
kwasababu za kiusalama hakuna ndege iliyoruhusiwa kutoka au kuingia Air port Mwanza.
Pichani ni kama ndege iliyogota katikati ya shamba la mpunga kumbe laaa!! ni ndege iliyo katika eneo stahiki la maegesho ya ndege.
Wafanyakazi mbalimbali kiwanjani hapo wakishughulika kusafisha njia za ndege mara baada ya magugu na tope jingi kutanda eneo hilo.
Hapa unaambiwa ni hali imetulia kwa Ofisi zetu kiwanjani.

Mara baada ya maji kupungua unaweza kuona jinsi miundo mbinu hasa njia za ndege zilivyoathirika. Picha Zote Na G SENGO BLOGU 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages