Muendelezo Wa Ziara Ya Rais Wa Zanziabr Dk Ali Shein Huko Sharjah - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Muendelezo Wa Ziara Ya Rais Wa Zanziabr Dk Ali Shein Huko Sharjah

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akiwa na ujumbe wake wakiongozana na Meneja Mkuu wa Ofisi ya kiongozi wa Sharjah,Dr.Sultan Mohammed Al Qasimi,Sheikh Salim Bin Abdulrahman Al Qasimi,(kulia kwa Rais), wakielekea katika jumba la sanaa na uchoraji katika Mji wa Sharjah .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akiwa na ujumbe wake wakiongozana na Meneja Mkuu wa Ofisi ya kiongozi wa Sharjah,Dr.Sultan Mohammed Al Qasimi,Sheikh Salim Bin Abdulrahman Al Qasimi,(wa pili kushoto) wakielekea katika jumba la sanaa na uchoraji katika Mji wa Sharjah .Picha na Ramadhan Othman-ikulu ,Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages