Mkurugenzi Mtendaji Wa Globeleq -Songas Akutana na Rais Jakaya Kikwete - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mkurugenzi Mtendaji Wa Globeleq -Songas Akutana na Rais Jakaya Kikwete


 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji Wa Globeleq -Songas ambayo ni kampuni ya Songas Bw Mikael Karisson Walipomtembelea Rais Jakaya Kikwete Ikulu Jana Jijini Dar es Salaam kwa Mazungumzo
Rais Jakaya Kikwete Akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji Wa Globeleq -Songas Bw Christopher Ford na Maofisa wa kampuni hiyo jana Ikulu Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni Ya 1 Plus Bi Fina Mango aliyeongozana na Ujumbe huo.Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages