Mimi Na Tanzania kipindi kinachorushwa Chanel Ten - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mimi Na Tanzania kipindi kinachorushwa Chanel Ten

“Mimi Na Tanzania” ni kipindi kinachohusu masuala yanayoigusa jamii kwa namna moja au nyingine haswa katika siasa, uchumi,michezo,na vikwazo na vimbwangwa vinavyoikumba jamii ya kitanzania.
 
“Mimi Na Tanzania” ni kipindi kisicho na upendeleo katika kumsaidia mwananchi wa kawaida haswa unyanyasaji unaofanywa na wanaodhani wana nguvu kuliko aliyewaumba. Tunamulika kaskazi hadi kusini, magharibi hadi mashariki ili kujenga jamii yenye amani, haki na upendo.
“Mimi Na Tanzania” ni kipindi pekee kinachofunga safari kukutafuta habariza kijamii popote pale Tanzania.

Hoyce Temu
Mtangazaji – Mimi na Tanzania
Kwa Habari Zaidi <<>>

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages