Mashindano ya Tusker Challenge Cup yakaribishwa Dar - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mashindano ya Tusker Challenge Cup yakaribishwa Dar

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Leodegar Tenga ambaye pia ni Rais wa CECAFA, akipokea tuzo baada ya kutangazwa kuwa Balozi wa United Against Malaria Tanzania na mmoja wa viongozi wa taasisi ya Johns Hopkins nchini, Anna McMartney (kushoto) katika hafla ya kuyakaribisha mashindano ya Tusker Challenge Cup yanaliyoanza kutimua vumbi jijini Dar es Salaam jana. Hafla hiyo iliyoandaliwa na United Against Malaria  ilifanyika juzi jijini humo.
 Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Leodegar Tenga ambaye pia ni Rais wa CECAFA, akipokea tuzo baada ya kutangazwa kuwa Balozi wa United Against Malaria Tanzania na mmoja wa viongozi wa taasisi ya Johns Hopkins nchini, Anna McMartney (kushoto) katika hafla ya kuyakaribisha mashindano ya Tusker Challenge Cup yanaliyoanza kutimua vumbi jijini Dar es Salaam jana. Hafla hiyo iliyoandaliwa na United
Against Malaria  ilifanyika juzi jijini humo. Katikati ni Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukandara.
 Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Leodegar Tenga (wa tatu kushoto) ambaye pia ni Rais wa CECAFA,akimtambulisha mmoja wa viongozi wa taasisi ya Johns Hopkins nchini, Anna McMartney (kushoto) kwa Mumbe wa CAF kutoka Afrika Kusini, Molefi Alephant (wa pili kulia) katika hafla ya kuyakaribisha mashindano ya Tusker Challenge Cup yanaliyoanza kutimua vumbi jijini Dar es Salaam jana. Hafla hiyo iliyoandaliwa na United Against Malaria  ilifanyika juzi jijini humo. Wa pili kushoto ni  Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukandara na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Serengeti Breweries, Richard Wells.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages