Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikata utepe wa kuzindua matembezi ya kusaidia watoto wenye
mahitaji mbalimbali ya kujikimu na hasa wanaougua ugonjwa wa saratani
yaliyoandaliwa na Edge Entertainment Limited na Children in Cross Fire.
mama Salma Kikwete watatu kutoka kushoto, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Edge Entertainment Co. Limited Edwini Ngere
na wa pili kushoto Naibu Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia na
watoto Ummi Mwalimu wakiwa katika matembezi ya kusaidia watoto wenye
mahitaji mbalimbali ya kujikimu hasa wanaougua ugonjwa wa saratani.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)