MKE
wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama
Mwanamwema Shein,akikabidhiwa mashine ya INCUBATORS, na Balozi wa
Uturuki nchini Tanzania,Sander Gurbuz,(katikati) mashine hiyo
hupunguza Bilirubini katika mwili wa Mtoto, makabidhiano yaliyofanyika
leo katika Hospitali kuu ya Mnazimmoja,(kushoto) Mke wa Balozi Mama
Durhan Gurbuz.
(Picha na Othman Maulid)
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)