MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA MABALOZI WA SUDAN NA JAPAN NCHINI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA MABALOZI WA SUDAN NA JAPAN NCHINI

https://mail.google.com/mail/?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=133abd4410d0bf3a&attid=0.1&disp=inline&zw 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Dkt. Yassir Mohamed Ali, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo Novemba 16, 2011
https://mail.google.com/mail/?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=133abd4410d0bf3a&attid=0.2&disp=inline&zw  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Dkt. Yassir Mohamed Ali, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo Novemba 16, 2011
https://mail.google.com/mail/?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=133abd4410d0bf3a&attid=0.4&disp=inline&zw  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi mpya wa Japan  nchini Tanzania, Masaki Okada, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzona kujitambulisha  leo Novemba 16, 2011
https://mail.google.com/mail/?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=133abd4410d0bf3a&attid=0.5&disp=inline&zw
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mpya wa Japan  nchini Tanzania, Masaki Okada, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo na kujitambulisha leo Novemba 16, 2011. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages