MAHAFALI YA PILI YA CHUO KIKUU CHA DODOMA YAFANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAHAFALI YA PILI YA CHUO KIKUU CHA DODOMA YAFANA

Baadhi ya Viongozi Chuo Kikuu Cha Dodoma Wakiwa Tayari Kwenye Maandamo Kuelekea Kweo kwenye Mahafali ya Pili Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Leo
Brass Band kutoka Jeshi la Polisi likiongoza maandamano ambayo yalikua yakielekea kwenye sehemu ya mahafali
Kiongozi Wa timu ya Viongozi Wa Juu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Katika Maandamano ya kuelekea kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Leo
Msafara wa Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Mh Benjamni William Mkapa Ukiwa unaingia Kwenye Viwanja Vya Chuo Kikuu Cha Dodoma Tayari kwa kuwatunuku Wahitimu
Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Mh Mkapa, Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Prof Idris Kikula na Makamu Wake Wakiwasili Kwenye Meza Kuu Tayari Kwa Kuanza Sherehe za Mahafali 
Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Prof Idris Kikula Akitoa Hotuba Kabla ya Kumkaribisha Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Mh Benjamini Mkapa Kuanza Kuwatunuku Wahitimu Shahada Zao
Viongozi Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Wakiongozwa Na Mkuu Wa Chuo Mh  Mkapa Wakiwa wamesimama Wakati Wimbo Wa Taifa unaimbwa katika Mahafali ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Leo
Baadhi Ya Wahitimu Wa Shahada ya Kwanza ya Sosholojia Wakiwa Katika Furaha Mara baada ya Kutunukiwa Shahada zao leo
Baadhi Ya Ndugu, Jamaa na Marafiki wa wahitimu wakiwa makini sana kufuatilia zoezi zima la wahitimu kutunukiwa shahada zao kama inavyoonekana hapo.Watu walikua wengi sana
Sehemu ya Wahitimu kama wanavyoonekana hapo ilikua burudani sana leo katika historia ya UDOM
Baadhi ya Ndugu, Jamaa na Marafiki wa wahitimu wakiwa chini ya mti kujikinga na jua maana jua lilikua kali wakati sherehe za kuwatunuku wahitimu zikiendelea
Mmoja Wa Wadau Wa Kubwa kabisa Wa Lukaza Blogu aliona ni vyema Kunilisha Keki Kama Mmoja Ya Zawadi yake kwangu.
 Wahitimu Kama Wanavyoonekana katika Picha wakipiga Picha Kwaajili ya UkumbushoKutokana na Wingi wa Picha Za Matukio ya Mahafali Endelea Kutembelea Lukaza Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages