Lori lenye namba za usajili T190 AKW likiwa limetumbukia mtoni baada ya kusombwa na maji katika daraja la mto Loobuko - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Lori lenye namba za usajili T190 AKW likiwa limetumbukia mtoni baada ya kusombwa na maji katika daraja la mto Loobuko

Lori lenye namba za usajili T190 AKW likiwa limetumbukia mtoni baada ya kusombwa na maji katika daraja la mto Loobuko kati ya Makuyuni na Mto wa Mbu wilayani Monduli mkoani Arusha kutokana na mvua kubwa zinazonyesha mkoani humo. (Picha na Prisca Libaga).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages