IMANI ZA KISHIRIKINA ZAENDELEA KUWASUMBUA WANANCHI WA IRINGA NA KUSABABISHA MTU MMOJA KUCHOMWA MOTO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

IMANI ZA KISHIRIKINA ZAENDELEA KUWASUMBUA WANANCHI WA IRINGA NA KUSABABISHA MTU MMOJA KUCHOMWA MOTO

UNYAMA GANI HUU JAMANI HADI LINI????? MTU mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Laurance Nkwera (60) mkazi wa Kijiji cha Ibani Ludewa katika Mkoa mpya wa Njombe, amekufa kwa kuchomwa moto na kuungua vibaya na watu wasiojulikana kwa imani za kishirikina, huku nyumba yake ikiteketezwa vibaya kwa moto, na familia yake kunusulika kifo kwa nyumba hiyo kutobolewa.

Ilizoeleka mambo haya kusikika zaidi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa sasa hata mikoa ya Kusini imeanza kufanya vitendo hivi vya kikatili, Sasa inabidi wahusika kuchukua hatua stahili ili kukomesha vitendo hivi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages