Makamu
wa Rais wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa NChini (BFT), Michael
Changalawe (kulia) akizungumza na makocha wa ngumi nchini wakati
walipowasili, Kibaha Mkoa wa Pwani Juzi kwa ajili ya kozi ya mchezo huo
na kuambiwa kozii hiyo iliyoandaliwa na kamati ya Olimpic (TOC)
imealishwa kutokana na mkufuzi wake alieteulia kupata dhalura hata
hivyo, makocha hao kutoka mikoa mbalimbali ya nchi walinyimwa stahiki
zao hususani maradhi na posho za nauli za kuwaludisha mikoa walikotoka
na kupatiwa kwa makocha wachache tu kinyume na barua walizopewa makocha
ya kuwa watalipiwa garama zote za kwenda na kuwarudisha mikoani kwao.
Baadhi
ya makocha wa mchezo wa ngumi wakiwa Kibaha Mkoa wa Pwani kwa ajili ya
kuuzuria kozi ya makocha iliyotarajia kuanza jumamosi ya kesho ata hivyo
kozi hiyo iliota mbawa baada ya mkufuzi alieteuliwa na chama cha ngumi
cha dunia (AIBA) kupata dharura kozi hiyo iliyoandaliwa na kamati ya
Olimpic (TOC) iliota mbawa na kufanyika kwa makocha hawo kutojua hatma
yao baada ya kufika Pwani bila kupewa stahiki zao walizoaidiwa katika
barua ikiwemo usafiri wa kwenda na kurudi pamoja na chakula ambavyo
awajapatiwa na kujitafutia usafiri kwa njia yao wenyewe kurudi mikoani
kwao.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)