CHEMBA ZA UDOM ZAANZA KURUDISHA CHENJI KAMA ZILIVYOKUTWA NA KAMERA YA LUKAZA BLOG LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

CHEMBA ZA UDOM ZAANZA KURUDISHA CHENJI KAMA ZILIVYOKUTWA NA KAMERA YA LUKAZA BLOG LEO

Hii ni chemba iliyopo block 3 kitivo cha sayansi ya jamii ambapo zimeanza kurudisha chenji kwa siku ya pili sasa na kupelekea kuwa na harufu mbaya karibia maeneo yanayoizunguka chemba hiyo. Chemba hiyo inasababisha usumbufu wa hali ya juu sana kwa kutoa harufu mbaya ambayo upelekea wanafunzi wanaolala karibu na chemba hiyo kushindwa kuvumilia harufu hiyo
Hapa ni maji yanayotiririka kutoka kwenye chemba iliyoonyeshwa hapo juu na kusababisha harufu mbaya kwa wanafunzi wanaolala karibu na chemba hiyo.Je mamlaka husika inasubiri nini mpaka sasa kushughulikia swala hili?au ndio wanasubili wanafunzi waanze kuumwa na kipindupindu ndio waanze kurekibisha?

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages