BREAKING NEWS: MAELFU WAFURIKA JIJINI MBEYA KATIKA KIKAO NA SERIKALI KUHUSU VURUGU ZILIZOTOKEA MBEYA JANA NA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BREAKING NEWS: MAELFU WAFURIKA JIJINI MBEYA KATIKA KIKAO NA SERIKALI KUHUSU VURUGU ZILIZOTOKEA MBEYA JANA NA LEO

Mkuu wa wilaya akiwa katika pozi la kusikitisha na kutia huruma  baada ya wananchi kukataa kumsikiliza
Muheshimiwa Joseph Mbilinyi akihutubia wakazi wa jijini mbeya

Mkuu wa Wilaya Kushoto akiwa na Mheshimiwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu
Kikao Kimeanza sasa watu ni wengi sana Mh. Joseph Mbilinyi anahutubia sasa..
Wananchi wakiwapokea viongozi kwa Shangwe 
Picha na Stanslaus yupo kwa tukio sasa endelea kufuatilia.Habari na Mbeya Yetu Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages