Vitanda
vilivyokuwa vikitumiwa na wangonjwa katika Zahanati ya Ipinda, iliyopo
Mwanjelwa jijini Mbeya vikiwa wazi baada ya wagonjwa kukimbia mara baada
ya bomu la machozi lililopingwa na Jeshi la polisi kutua ndani ya Wadi.
Mgonjwa
aliyekuwa akitibiwa Zahanati hapo akiwa amezirai baada ya bomu la
machozi lililopingwa na Jeshi la polisi kutua ndani ya Wadi.
Wauguzi waliozirai wakiwa nje ya Zahanati mara baada ya kutibiwa
Mganga
Mkuu wa zahanati ya Ipinda jijini Mbeya Dk. Lute Kibopile ambaye pia ni
mmiliki wa zahanati hiyo akionesha Bomu la machozi lililopigwa na Jeshi
la polisi na kuingia ndani ya Wadi.
Mganga
Mkuu wa zahanati ya Ipinda jijini Mbeya Dk. Lute Kibopile ambaye pia ni
mmiliki wa zahanati hiyo akielezea jinsi bomu la machozi lilivyopingwa.
Muuguzi akionesha eneo ambalo bomu la machozi lilipotua katika Zahanati ya Ipinda, eneo la Mwanjelwa jijini Mbeya.
Mtaalamu
wa masuala ya maabara katika Hospitali ya UHAI BAPTIST Dk Ngangele
Lisukile akionesha bomu la machozi lililopingwa hospitalini hapo majira
ya saa 5:30 asubuhi.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)