BAADA YA KUMALIZA KUGAWA DOZI YA KIKOMBE SASA BABU AMILIKI LAND CRUISE MKONGE SAFI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BAADA YA KUMALIZA KUGAWA DOZI YA KIKOMBE SASA BABU AMILIKI LAND CRUISE MKONGE SAFI


HABARI zinadai kuwa Babu wa Loliondo kwa sasa ni tajiri wa kupindukia kwani ana miliki vitu kadhaa wa kadhaa. Inasemekana kuwa kwasasa Babu anamiliki nyumba moja matata inayokadiriwa kugarimu mamilioni ya pesa, pia Babu ana miliki gari mbili, moja ambayo iko pichani Land Cruiser na Pick up mabayo haipo kwenye picha na vitu vingine kadhaa wa kadhaa.(Wajanja Club)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages