ASHA BARAKA NA AMOSI wazungumzia kuhusu 50th Independence Tour - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ASHA BARAKA NA AMOSI wazungumzia kuhusu 50th Independence Tour


Mkurugenzi wa African Stars ASHA BARAKA pamoja ofisa wa Ubalozi nchini Uingereza AMOSI MSANJILA wanazungumzia kuhusu maandalizi na matayarisho kwa ajili ya ziara ya Twanga Pepeta "KISIMA CHA BURUNDANI'' nchini Uingereza katika Kuazimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Show hii itafanyika jumamosi Tarehe 26 November 2011 katika Ukumbi wa Club 2000(Silver Spoon)Savoir Banqueting Suite, Popin Building Southway, Wembley HA9 0HB.

Asante,
Urban Pulse Creative

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages