Amehitimu Shahada ya Sanaa na Ualimu wa Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro Akiwa na Mwanawe Mchanga wa Miezi Mitatu - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Amehitimu Shahada ya Sanaa na Ualimu wa Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro Akiwa na Mwanawe Mchanga wa Miezi Mitatu


Mhitimu wa Shahada ya Sanaa na Ualimu wa Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM) katika Mahafali ya Nne ya Chuo hicho,Neema Lihawa,akiwa na mwanawe mchanga wa miezi mitatu, Arqam Shaaban, baada ya kutunukiwa Shahada yake na Mkuu wa Chuo Kikuu hicho, Hajjat Mwatumu Malale kwenye viwanja wa chuo mjini Morogoro.Picha na John Nditi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages