AJENGA CHOO BARABARANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

AJENGA CHOO BARABARANI

Choo kikiwa kimejengwa mbele ya nyumba upande wa Barabarani eneo la Kinondoni Shamba badala ya kujengwa uwani mwa nyumba hiyo, jambo ambalo haliendani na maisha ya kawaida ya binadam ama maadili ya Kitanzania. Choo hiki kama kinacyoonekana kikiwa karibu kabisa na barabara inayopitisha magari ya kila aina sasa sijui siku gari likikosea njia likavamia choo hiki wakati jamaa akiwa ndani itakuwaje. 'WABONGO TUPUNGUZE VITUKO'

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages