Ajali Mbaya iliyotokea jana River Side Ubungo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Ajali Mbaya iliyotokea jana River Side Ubungo

Katikati ni gari ndogo nyekundu iliyokandamizwa chini ya gari kubwa jeupe la mafuta. kuna mtu yuko hai bado hajatolewa. habari zinasema watu watatu wamekufa kati yao mama mjamzito ambaye kichwa na kiwiliwili vimetengana
Wakijaribu kunasua mwili wa wahanga hao wa ajali na miili ya waliokufa katika ajalia hiyo. Kama inavyoonekana hali ilikuwa ni mbaya sana watu wakiagalia kilichotokea bila kuaminai lakini ndiyo hivyo tena.
Watu wakiangalia tukio hilo leo mchana maeneo ya Ubungo River Side jijini Dar es salaam. (PICHA KWA HISANI YA MJENGWABLOG)

1 comment:

  1. Inasikitisha sana, kwa tukio kama hilo na kupoteza nguvu sa taifa, ila na sisi wote tuwe makini katika kufuata sheria barabarani.
    Mungu tusaidie tanzania , tuepukane na ajali!

    ReplyDelete

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages