
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara
wa CCM uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Getrude Mongela mjini Nansio,
Ukerewe mkoani Mwanza

Sehmu ya Umati Mkubwa wa Wanaccm Ukerewe Wakimsiliza Nape Nnauye

Mkuu
wa wilaya ya Ukerewe, Queen Mlozi (kulia) akimpa taarifa ya
utekelezaji wa Ilani ya CCM, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape
alipofika kwenye Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo, jana. Wapili kushoto ni
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Clement Mabina.

Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisalimiana na Mkuu wa wilaya
ya Ukerewe mkoani Mwanza, Queen Mlozi baada ya kuwasili jana kwenye
Kivuko cha Nansio Ukwewe kwa ajili ya ziara ya siku moja wikayani
humo.

Nape akivishwa skafu na Chipukizi wa CCM baada ya msafara wake kuwasili Kivuko cha Nanisio, jana.

Nape akipinga ngoma kuunga mkono kikundi kilichokuwa kikitumbuiza kwenye mkutano huo.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)