WAZIRI MKUU AKIWA ZIARANI NCHINI BRAZIL - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU AKIWA ZIARANI NCHINI BRAZIL



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Madini na Nishati wa Brazil, Mhe. Eddison Lobao (kulia) October 5, 2011 kwenye Ofisi za wizara hiyo zilizoko Brasilia. Yuko katika ziara ya kikazi nchini humo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa maelezo kuhusu picha ya wafugaji wa kabila la Wamasai aliyomzawadia   Waziri wa Madini na Nishati wa Brazil, Mhe. Eddison Lobao (kushoto) October 5, 2011 baada ya mazungumzo yao kwenye Ofisi za wizara hiyo zilizoko Brasilia. Yuko katika ziara ya kikazi nchini humo.  Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Mary Nagu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza  na Waziri wa Madini na Nishati wa Brazil, Mhe. Eddison Lobao (kulia) October 5, 2011 kwenye Ofisi za wizara hiyo zilizoko Brasilia. Yuko katika ziara ya kikazi nchini humo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa na Waziri wa  Kilimo, Mifugona Ugavi  Mhe. Jorge Alberto Portanova wakati alipowasili kwenye ofisi za Wizara hiyo zilizoko Brasilia kwa mazungumzo ya kiserikali akiwa katika ziara ya kikazi nchini Brazil, October 5, 2011.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages