Msanii wa maigizo ya vichekesho JOTI akitoa changamoto ambazo anakutana nazo katika sanaa yake hiyo ya maigizo.
Mzee Kipara hii ndio hali aliyofikia hivi sasa.
Mzee
kipara ni msanii wa muda mrefu ambaye alikuwa katika sanaa ya maigizo
kwa muda mrefu, kipindi cha hivi karibuni vyombo mbali mbali vya habari
vilitoa hali ya afya yake.
Kwa
sasa hali yake bado ni mbaya, napenda kuwakumbusha tena wasanii wote
msimtupe mzee huyu na mnavyoendelea na vikao vyenu na BASATA pia muweze
kumuongelea Mzee huyu, ili kwa pamoja na Serikali mumsaidie. Napenda
kuwashukuru wale wote waliojitahidi kumsaidia kwa namna moja au nyingine
ili kuweza kumfanya Mzee huyu ajisikie ana watu ambao wanamjali, Mungu
atawarudishia.







No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)