Mkurugenzi
wa Rasilimali watu wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania
Stellah Kiwango akitoa mada kuhusu Uongozi na namna ya kufanya kazi na
makundi tofauti ya watu katika Mkutano wa siku moja ulioshirikisha
wafanyakazi wa idara mbalimbali za Kampuni hiyo uliofanyika jijini Dar
es salaam.
Mmoja
wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Bw. Charles Erasto akiuliza swali juu
ya mada zilizojadiliwa katika mkutano ulioshirikisha wafanyakazi wa
idara mbalimbali za Kampuni hiyo wa uongozi na namna ya kufanya kazi na
makundi tofauti ya watu.
Wafanyakazi
wa Kampuni ya simu za mkoni ya Vodacom kutoka Idara mbalimbali
wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa katika mkutano wa
uongozi na nama ya kufanya kazi na makundi mbalimbali ya watu
uliofanyika jana jijini dar es salaam.
Mkurugenzi
wa Rasilimali watu wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania
Stellah Kiwango (kushoto) akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wenzake
ikiwa ni sehemu ya utambulisho wakati wa Mkutano wa siku moja wa
Uongozi na namna ya kufanya kazi na makundi mbalimbali ya watu
uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya washiriki wa mkutano wa masuala ya uongozi ambao pia ni wafanyakazi
wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania wakiwa katika picha
ya pamoja mara baada ya kuhitimisha mkutano wao wa siku moja
uliofanyika jijni Dar es salaam.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)