Wasanii Eve E, Shaggy na Cabo Snoop Watamba Kufunika Tamasha La Tusker All Stars 2011 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Wasanii Eve E, Shaggy na Cabo Snoop Watamba Kufunika Tamasha La Tusker All Stars 2011


 Mwanamuziki Mashuhuri kutoka Nchini Marekani Eve E akitia saini kwenye bango lenye tangazo jipya la Kampeni Kutoka East Afrika Breweries la '' Unywaji Pombe Kistaarabu ama Responsible drinking
 Mwanamuziki Mashuhuri kutoka nchini Marekani Eve E akiwa katika pozi
 Msanii Alpha akiwa katika Picha ya Pamoja na Mwanamuziki Eve E
 Mwanamuziki mahiri kutoka nchini Marekani Shaggy akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari jijini Nairobi leo kuhusiana na Tamasha la Tusker All Statrs 2011 litakalofanyika kesho Mjini Nairobi,Kulia kwake ni Mkurugenzi wa masoko wa Kampuni ya EABL-Kenya ambao ndio wadhamini wakuu wa tamasha hilo
 Kutoka Kulia ni Mkurugenzi wa masoko wa Kampuni ya EABL-Kenya ambao ndio wadhamini wakuu wa tamasha hilo akizungumza na Waandishi wa habari leo hii Juuu ya tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika kesho
 Baadhi ya wasaniii ambao watashiriki kwenye tamasha la Tusker all stars 2011 hapo kesho, Kutoka kushoto ni msaniii mahiri kutoka nchini kenya Amani na Jaguar na Alpha
 Kulia ni Mmoja Kati ya Wakurugenzi wa Clouds Entertainment Ruge Mutahaba akiteta jambo na Mwanamuziki Mahiri kutoka nchini Marekani Shaggy leo asubuhi mjini Nairobi
Baadhi ya wanamuziki waliojitokeza kuunga mkono kampeni Mpya ya EABL-Kenya wakiwa katika picha ya pamoja na Mwanamuziki Mahiri kutoka nchini Marekani Eve E(Wa Pili Kushoto) na Kwanzia Kulia ni Shanggy,Cabo Snoop,Msechu na Davies.Picha Zote na Ahmed Michuzi-Nairobi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages