Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na Balozi wa Denmark nchini, Mh. Bjarne Henneberg Sorensen
ambaye alkwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuaga
Septemba 30,2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na Balozi wa China nchini, Mhe. Liu Xinsheng, kabla ya
mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba
30,2011.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)