Wanachama wa Chadema waandamana arusha mchana wa leo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Wanachama wa Chadema waandamana arusha mchana wa leo

Wanachama wa chadema wakiandamana mchana wa leo jijini Arusha maeneo ya clock tower karibu na ofisi za precision air wakielekea mitaa ya manispaa huku wakisikika wakisema "tumechoka kesi feki". zilikua zimeongoza piki piki na bendera.nimeshindwa kupata taswira kwa ubora zaidi maana jamaa walikua na
jazba sana nikapoteza timing.

Mdau Arusha.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages