Mtaalamu
wa Mafunzo ya Utengenezaji bia wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Rose
Mrina (wa pili kulia), akiwaelezea wahariri kuhusu zao la shayiri
linalotumika kutengenezea bia.
Wahariri wakiwa chumba cha kompyuta zinazotumika kupikia bia katika kiwanda cha TBL,wakati
wa ziara ya wahariri wa vyombo vya habari Makao Makuu ya TBL, Dar es
Salaam juzi. Kulia ni Mhariri Mtendaji wa gazeti la The Guardian, Wales
Maugo na Mnaku Mbani ambaye ni Mhariri wa gazeti la Business Times.
Wahariri wa vyombo vya habari nchini,wakitembelea kiwanda cha bia cha TBL,wakati wa ziara yao.








No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)