VAZI TATA! KUNANI MWENZETU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

VAZI TATA! KUNANI MWENZETU


Picha ya juu ni Katibu Mkuu Mwenezi wa CCM Nape Mnauye, na picha ya chini wa kushoto ni Mh. Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA.

Hilo vazi lako Nape linanichanganya, mie sijakupata vizuri. mbona linafanana na hilo lililovaliwa hapo chini kushoto!
Au upo pia na kule nini kwenye vidole?

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages