Rais Kikwete afunga mafunzo ya uchunguzi na upelelezi kwa viongozi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi Kidatu Morogoro - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Kikwete afunga mafunzo ya uchunguzi na upelelezi kwa viongozi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi Kidatu Morogoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi wa Baraza na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi na washiriki wa mafunzo ya uchunguzi na upelelezi baada ya kuwa amefunga mafunzo hayo katika Chuo cha Polisi cha Kidatu, Mogororo, leo, Alhamisi, Okotoba 5, 2011. Pamoja na ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mheshimiwa Joel N Bendera na Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi nchini, Saidi Mwema. Wengine waliokaa ni Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili, Jaji (mst) Salome Kaganda na Mwenyekiti wa Baraza la Maadili, Jaji (mst) Damin Lubuva.
(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages