USALAMA WA NJIA KWA WASHIRIKI WA 'VODACOM MWANZA OPEN CYCLE CHALLENGE 2011' UPO KAMILI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

USALAMA WA NJIA KWA WASHIRIKI WA 'VODACOM MWANZA OPEN CYCLE CHALLENGE 2011' UPO KAMILI


Mtaalam wa Afya Usalama na Mazingira wa Vodacom Tanzania Christopher Mosole,akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa  kutangaza usalama wa njia/barabara kwa washiriki wa mbio za baiskeli za “Vodacom Mwanza Open  Cycle Challenge 2011” na wananchi kwa ujumla wa Mikoa ya Shinyanga na Mwanza, zitakazofanyika  tarehe 22 mwezi huu kuanzia Shinyanga hadi Mwanza,kushoto Meneja wa Malta Guinness Maurice Njowoka,kulia Mwenyekiti wa Chama cha Baiskeli Mkoa wa Shinyanga na Mwanza(KAMWASHI)Bw.Elisha Eliasi,Mbio hizo zinadhaminiwa na Malta Guinness.  
Mwenyekiti wa Chama cha Baiskeli Mkoa wa Shinyanga na Mwanza(KAMWASHI)Bw.Elisha Eliasi akiongea na waandishi wa habari wakati wa kutangaza usalama wa njia/barabara kwa washiriki wa  mbio za baiskeli za “Vodacom Mwanza Open  Cycle Challenge 2011” na wananchi kwa ujumla wa Mikoa ya Shinyanga na Mwanza, zitakazotimua vumbi tarehe 22 mwezi huu kuanzia Shinyanga hadi Mwanza,katikati Meneja wa Malta Guinness Maurice Njowoka,kushoto Mtaalam wa Afya Usalama na Mazingira wa Vodacom Tanzania Christopher Mosole,Mbio hizo zinadhaminiwa na Malta Guinness.  
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama cha Baiskeli Mkoa wa Shinyanga na Mwanza(KAMWASHI)Bw.Elisha Eliasi wapili kutoka kushoto mara baada ya mkutano wa usalama wa njia/barabara kwa washiriki wa  mbio za baiskeli za “Vodacom Mwanza Open  Cycle Challenge 2011” na wananchi kwa ujumla wa Mikoa ya Shinyanga na Mwanza, zitakazotimua vumbi tarehe 22 mwezi huu kuanzia Shinyanga hadi Mwanza,Mbio hizo zinadhaminiwa na Malta Guinness.  

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages