Mwishoni
mwa wiki UN Dar es Salaam walikuwa na tamasha la michezo la Familia.
Pichani ni wafanyakzi hao wakivutana katika mchezo wa kamba waliofanyia
pale Leaders Club.
UN
Waliwaalika Wafanyakazi wanaounda timu ya Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifda. Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa katika picha ya pamoja na kikombe chao.
Baadhi ya Maofisa wa UN kutoka Idara ya Habari wakiwa katika picha ya pamoja.
Hoyce Temu akishow Love na mmoja wa mabinti walijumuika siku hiyo.Picha Na Father Kidevu Blogu





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)