Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro (katikati) akimkabidhi Mkurugenzi
Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare, anaemaliza muda wake hapa
nchini, zawadi ya picha inayomuonyesha akisimikwa na wazee wa kimila wa
kabila la Wahehe,wakati alipotembelea mkoa huo kuwaaga rasmi hivi
karibuni, (kulia) Mkurugenzi wa Vodacom kanda ya nyanda za juu kusini
Jackson Kiswaga.
Baadhi
ya wageni waalikwa walioudhuria hafla hiyo ya kumuaaga rasmi Mkurugenzi
Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mareha hayupo pichani anaemaliza
muda wake hapa nchini.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)