Ujumbe Wa Wabunge La Wanawake Kutoka Bunge la Zimbabwe Watembelea Tanzania - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Ujumbe Wa Wabunge La Wanawake Kutoka Bunge la Zimbabwe Watembelea Tanzania


Mwenyeketi wa  Chamba cha Wabunge wanawake toka Tanzania (TWGP) Mhe. Anna Abdalla (Mb) akimtambulisha Katibu wa Bunge Ndg. Thomas Kashililah (Mwenye Miwani) kwa ujumbe wa Wabunge Wanawake kutoka Bunge la Zimbabwe wakati wa kikao cha pamoja kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Dar es Salaam. Ujumbe huo wa Zimbabwe upo nchini kwa ziara ya mafunzo na kubadilishana uzoefu na wenzao wa Tanzania.
Kiongozi wa Ujumbe wa Wabunge Wanawake kutoka Bunge la Zimbabwe (wa tatu kushoto) akieleza jambo wakati wa kikao cha Pamoja na Viongozi wa Chamba cha Wabunge wanawake toka Tanzania (TWGP) walipotembelea Bunge jana. Ujumbe huo upo nchini kwa ziara ya mafunzo kutoka kwa wabunge wenzao wa Tanzania.
Wabunge hao wakiwa na wenyeji wao katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages