The Fashion Coordinator Washington Benbella describing to the Press concerning the Awards Catergory during the Press Conference at Southern Sun Hotel on 4th-Oct-2011 |
Marketing Manager of Swahili
Fashion Week,Hamis K.Omary answering questions from the media people
concerning the Awards Catergory of Swahili Fashion Week
The Project Manager of Swahili Fashion Week Gillian Rugumamu explaining to the press concerning the Launch in Arusha and Swahili Fashion Week Awards,next is the Fashion Coordinator Washington Benbella. |
The PR and Media Manager Amisa
Juma introducing the team of Swahili Fashion Week,next is the Marketing
Manager of Swahili Fashion Week Hamis K.Omary,during the press
conference at Sothern Sun on 4th-10-2011
The PR and Marketing Manager for Swahili
Fashion Week,Amisa Juma and Hamisi Omary,looking on the Swahili Fashion
Week Awards nominations are unveiled to the media during the Press
Conference on 4th-10-2011.
---
---
Swahili Fashion Week ni maonyesho makubwa
yatakayohusisha Afrika mashariki na kati. Kwa mwaka wake wa nne sasa
Swahili Fashion Week itafanyika National Museum tarehe 10,11 na 12
Novemba 2011 Dar-es-salaam Tanzania.
“Mwaka
huu tumekuwa zaidi na katika kuthibitisha hili Wiki ya maoneshoya
mavazi ya Swahili inapeleka maonesho hayo kwa mara ya
kwanza kabisa Arusha ambapo ni makao makuau ya umoja wan chi za afrika
na baadae onesho lenyewe kufanyika jijini Dar es Salaam, tukiwa na lengo
kubwa la kuongeza uelewa wa mavazi, na daima kuwa wa kwanza kutimiza
malengo mbalimbali katika tansia nzima ya mavazi,.” Alisema Mustafa
Hassanali
Mwaka
huu maonesho ya mwanzo yatafanyika katika hoteli ya Mount Meru tarehe 8
Oktoba 2011 kuanzia saa mbili usiku kwa namna ya kipekee kutoka kwa
wenyeji wetu Hoteli ya Mount Meru.
“Katika
maonyesho haya wabunifu zaidi ya 15 kutoka sehemu mbalimbali Tanzania
wataonyesha mavazi yao vilevile kutakuwa na burudani kali kutoka kwa
wasanii wa hapa hapa nyumbani nah ii ni katika kukuza kazi za wabunifu
wa Kitanzania na Afrika Mashariki mikoani alimalizia.” Hassanali
.
Katika kutanua wigo
wanMaonesho ya wiki ya mavazi ya Swahili imeona njia mbalimbali za
kukuza mavazi ya kinyumbani na watu wazungukao tansia hii ya mavazi na
kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya maonesho ya mavazi Afrika
Mashariki na Kati inazindua rasmi tuzo za maonesho ya wiki ya Swahili
katika kuwatambua wadau mablimbali wa tansia hii na wale wanaoizunguka
pia.
Katika tuzo hizi wananchi wataruhusiwa pia
kufanya maamuzi katika tuzo hizi ambapo watapiga kura kupitia vyombo
mbalimbali na kura hizo zitahakikiwa na PKF Tanzania na washindi
watatunzwa tuzo hizo katika tafrija ya utoaji wa tuzo za wiki ya mavazi ya
swahili itakayofanyika tarehe 12 Novemba 2011 na baadhi ya kategori
zinazoshindaniwa ni pamoja na Mbunifu bora wa mwaka wa mavazi,Mbunifu
bora wa mavazi anayechipukia, Mwanamitindo
bora wa mwaka wa kike, na Mwanamitindo bora wa mwaka wa kiume na
zinginezo
“Vilevile bila kusahau uwepo wa kizazi kipya
nchini Tanzania, kwa mara ya kwanza pia maonesho ya wiki ya Swahili
itazindua shindano la utengenezaji na ubunifu wa tisheti huku lengo kuu
likiwa kuhusisha vijana na ubunifu wao katika kukuza na kuendeleza
familia yetu kimavazi hasa tukizingatia kwa mwaka huu tunasherekea miaka
50 ya Uhuru.” aliongezea Meneja mradi wa Wiki ya maonesho ya mavazi ya
Swahili Gillian Rudumamu
“Tunamalengo
ya kutangaza biashara ya mitindo katika mataifa mbalili. Ningependa
kuwashukuru washirika wetu wote,na wale wote waliotuunga mkono kuanzia
miaka ilioyopita na hata sasa.Na pia ningeomba kutoa wito kwa jumuiya na
mashirika mbalimbali kutuunga mkono mwaka huu katika maonesho ya mavazi
ya wiki ya Swahili.”alisema Afisa habari na mahusiano Enstenium Mgimba
Swahili fashion week 2011 imedhaminiwa na ,the
home of Swahili Fashion Week - Southern Sun, EATV, East Africa Radio,
Precision Air, BASATA (Baraza La Sanaa Tanzania), Amarula, Ultimate
Security, REDD’S original, Image Masters, Global Outdoor Ltd, Vayle
Springs Ltd, Eventlites, Nipashe, Perfect Machinery Ltd, Michuzi blog,
PKF Tanzania and 361 Degrees.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)