Hii ni kafteria iliyopo kitivo cha sayansi ya jamii cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) huku ikiwa imejaa na kusababisha wanafunzi kupanga foleni kuanzia kusaini pesa ya kujikimu hadi kafteria kitu ambacho kina sababishwa na baadhi ya kafteria kutofunguliwa na kusababisha sehemu moja kuja na kusababisha kero ya foleni kwa wanafunzi hao
Kama Kawaida Wanafunzi Wakiwa kwenye foleni kwaajili ya kupata chakula cha mchana ambapo wengine wakiwa wametoka kwenye foleni ya kuhakiki majina yao kwaajili ya kupata fedha za kujikimu.
Kama Kawaida Wanafunzi Wakiwa kwenye foleni kwaajili ya kupata chakula cha mchana ambapo wengine wakiwa wametoka kwenye foleni ya kuhakiki majina yao kwaajili ya kupata fedha za kujikimu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)