Hapo Mbele Ni Jengo la Mahakama Ya Mwanzo Ya Dodoma Mjini Huku Tanzania Tukienda Kusherehekea Miaka 50 Ya Uhuru Wakati wanaosubiri kusikiliza kesi zao wanasubiri chini ya Miti karibu na kituo cha daladala kinachoitwa mahakamani au kwa pilato
Hawa ni baadhi ya Wananchi wa Mji Wa Dodoma wakisubiri chini ya miti na karibu tu na kituo cha daladala kinachoitwa mahakamani au kwa pilato kwenda kusikiliza kesi zao.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)