
Naibu Waziri wa Maji, Gerson Lwenge akitoa hotuba ya kufungua mkutano wa sita wa siku
mbili wa sekta hiyo wa kujadili mafanikio na changamoto juu ya suala
hilo unaoendelea katika hoteli ya Ubungo Plaza jijini Dares Salaam.


Baadhi wa wadau wa sekta ya maji wakifuatilia kwa makini mkutano wa sita wa siku
mbili wa sekta hiyo wa kujadili mafanikio na changamoto juu ya suala
hilo unaoendelea katika hoteli ya Ubungo Plaza jijini Dares Salaam.

Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(TAMISEMI), Aggrey Mwanri(kushoto)
akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Christopher
Sayi(kulia) wakiwemo na wadau wengine.

Naibu Waziri wa Maji, Gerson Lwenge wa tano kutoka(kushoto) na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) Aggrey Mwanri wanne (kulia) na wanne(kushoto ) ni Katibu Mkuu wa
wizara hiyo, Mhandisi Christopher Sayi wakiwa katika picha ya pamoja
baadhi ya wadau wa sekta ya maji mara baada ya kufungua mkutano wa
sita wa siku mbili wa sekta hiyo wa kujadili mafanikio
na changamoto juu ya suala hilo, unaoendelea kwenye hoteli ya Ubungo
Plaza jijini Dares Salaam.
Picha Zote na Magreth Kinabo-MAELEZO





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)