Nyumba
hii ipo mjini Morogoro inatazamana kabisa na Bar maarufu ya Top Life,
unaweza stuka na kustaajabika kuona imeungwanishwa na umeme washirika
letu maarufu la Ugavi wanishati hiyo. Uchakavu wa nyumba hii unatia
shaka iwapo Tanesco wanakusanya bili zao hapa na kama imekatiwa umeme
sijui utakuwaumekatwa kwa njia gani kwani nyaya zipo toka katika nguzo
bila kutenganishwa.
Picha Na Habari Kwa Hisani Ya Father Kidevu Blogu





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)