Tunasikitika Kutangaza Kifo cha Aliekuwa Mshiriki wa Miss Dar
Inter Collage 2010 ambaye pia ni Miss Mtwara 2011/12 ,Rahma Swai
(pichani) kilichotokea usiku wa kuamkia leo huko Mtwara.
Mrembo huyo amepatwa na mauti hayo kutokana na tatizo la shinikizo la damu.Napenda kutoa pole kwa ndugu ,jamaa na marafaiki zake wa karibu na warembo wengine waliomfahamu tangu enzi za uhai wake mpaka mauti yalipomkuta.
Mpango wa Kusafirisha Mwili wa Marehemu kutoka Mkoani Mtwara na kuja jijini Dar es Salaam kwa Mazishi unafanywa na msiba upo nyumbani kwa Bibi yake na Marehemu maeneo ya Makongo,Changanyikeni.
Mungu aiweke mahali pema roho ya Marehemu Rahma Swai
Amein.
Angel Msangi Mtaribu wa Miss Dar Inter Collage.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)