Zawadi
ya kinyago alichopewa Spika wa Bunge Anne Makinda kinachoashiria
majukumu ya mwananke wa kiafrika anayehitaji kupewa nafasi
Spika Anne Makinda akiweka jiwe la msingi katika jingo la teknolojia ya maarifa katika sekondari ya Ndwika ambako aliendesha harambee iliyokusanya shilingi 27,600,000/- ili kukamisha ujenz
Mkuu
wa mkoa wa Lindi Mhe Mwananzila(kushoto) akimkaribisha Spika Bunge
Mhe.Anne Makinda kusini katika kitabu cha wageni mashuhuri aliposimama
mkoani hapo akielekea Mtwara Masasi jana kuhudhuria mahafali ya kidato
cha nne katika shule ya sekondari ya wasichana Ndwika ambayo imetiza
miaka mia moja tangu ianzishwe mwaka 1911.
Spika
Anne Makinda akiwa na“School mates”wake jana alipotembelea Shule ya
Sekondari ya wasichana Masasi ambapo amesema ni vema kuanza kufikiria
kuanzishwa kwa Chuo kikuu cha wanawake Tanzania
Mwanafunzi
wa kidato cha nne aliyeibuka kidedea katika masomo yote, Bi Mwajuma
Issa, akipongezwa na Mhe. Spika huku Menyekiti wa Bodi ya Shule Bw.
Juma Satna, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Husna Mwilima na Mkuu wa
wilaya za Nanyumbu na Masasi Mhe Fatma Ally wakishuhudia.
Spika
Makinda akiwa na mwanafunzi, Asia Hassan, ambaye kwa sasa anatumia
kitanda alichokuwa akitumia Mhe. Spika Anne Makinda shuleni hapo.
Mkuu
wa Shule ya wasichana Masasi Mama Tesha (kulia) akimpokea Spika
Makinda kwenye shule hiyo. Mhe Spika alisoma katika shule hii mwaka
1965-1968 ambapo alikuwa mwenyekiti wa kwanza wa TANU Youth league.
Spika akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya Ndwika.Picha na Prosper Minja





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)