Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu mtendaji wa kampuni ya kuzalisha mafuta ya Shell Bwana Guy Outen jijini Perth Australia
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi mkuu
wa Commonwealth Business forum Dkt.Mohan Kaul mjini Perth, Australia
ambapo anahudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya madola.
Mpiga picha wa Televisheni akiwa tayari kwa kazi kabla ya kuanza kwa mkutano huo
Hii
pia ni Sehemu maalumu ya kufanyia kazi waandishi wa habari
watakaohabarisha matukio mbalimbali ya mkutano wa wakuu wa nchi
wanachama wa jumuia ya madola (CHOGM ) mjini Perth Australia kuanzia
ktoba 28- 30 Okt. 2011 . Mkutano wa CHOGM hufanyika kila baada ya
miaka miwili, -
Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO na Freddy Maro-IKULU





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)